Mhudumu wa gari la kubebea wagonjwa aliyenaswa na kamera nchini Israeli ,alizitemea mate picha za Yesu alipotembelea nyumba za wakristo kuwafanyia kufanya vipimo vya corona amefutwa kazi. Daktari huyo ...
Uso wake umechorwa zaidi ya nyuso zote duniani, na anatambulika kila mahali na wasanii wa Kizungu kama jamaa aliyevaa kanzu, ana kidevu kirefu sawa na nywele. Lakini je, alikuwa anafanana hivi kweli ?